ukombozi fm radio ni radio ya kiroho itakayokupa maarifa ya kiroho na kijamii unaposikiliza hakika utabarikiwa kwa maarifa mbali mbali ya kiroho na kimwili pia utapa kusikiliza muziki mzuri wa faraja na kukuburudisha pamoja burudani nyingine kama michezo nk Karibu tuungane pamoja ktk kuujenga ufalme mungu TUNAPATIKANA MKOANI MWANZA NCHINI TANZANIA